Serengeti kujengwa madaraja makubwa matano kudhibiti mafuriko

Serengeti. Serikali imepanga kujenga madaraja makubwa matano katika maeneo korofi ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, ikiwa ni hatua ya kudhibiti athari za mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kuharibu miundombinu ya barabara na vivuko. Mbali na madaraja hayo makubwa, pia yanatarajiwa kujengwa madaraja madogo matano katika maeneo mengine yenye changamoto, hatua inayolenga kupunguza usumbufu…

Read More

Chakula silaha ya siri dhidi ya maradhi

Dar es Salaam.​ Katika karne ya 21, ambapo kasi ya maisha imekuwa kubwa na magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari, shinikizo la juu la damu, na saratani yakishika kasi, jamii inapaswa  kuamka na kuchukua hatua stahiki. Leo  hospitali zimefurika, na gharama za matibabu zinazidi kupanda kila kukicha, jambo linalowafanya wataalamu wa afya na lishe kutoa wito wa…

Read More

LIVE: The Citizen Rising Woman 2026

Dar es Salaam. Wadau wakiwamo wanawake zaidi ya 400 kutoka sekta mbalimbali nchini, wakishiriki Jukwaa la Sita la The Citizen Rising Woman Initiative (RWI) linalofanyika muda huu katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam. LIVE: The Citizen Rising Woman 2026 Jukwaa hili…

Read More

RC Mara ashusha zigo la elimu ya udumavu kwa wahudumu wa afya

Musoma. Wakurugenzi wa halmashauri tisa za wilaya mkoani Mara, wametakiwa kutenga bajeti ya kuwezesha angalau wahudumu wawili wa afya ngazi ya jamii katika kila kijiji na mtaa, hatua inayolenga kuimarisha utoaji wa elimu ya afya na lishe bora kwa wananchi. Pia, wametakiwa kuhakikisha maadhimisho ya Siku ya Afya na Lishe Vijijini yanafanyika katika vijiji vyote,…

Read More

Rais Mhe. Dkt. Samia awasili Mkoani Arusha kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA. Amos Makalla mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), tarehe 06 Machi, 2026. Rais Mhe. Dkt. Samia amewasili…

Read More

Wananchi Wahimizwa Kujiunga na Hifadhi Skimu

Serikali imehimiza wananchi kujiunga katika na Hifadhi Skimu ili kujihakikishia usalama wa maisha yao ya sasa na baadaye ikiwemo kunufaika na mafao yanayotolewa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Akizungumza katika hafla ya uhamasishaji wa kujiunga na hifadhi hiyo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe….

Read More

Wawekezaji wanawake soko la hisa bado kiduchu

Dar es Salaam. Wakati zaidi ya Watanzania 800,000 wakiwa wamewekeza katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), imeelezwa kuwa wanawake ni asilimia 35 ya wawekezaji katika soko hilo mpaka sasa. Hayo yameelezwa leo, Ijumaa Machi 6, 2026 na Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Peter Nalitolela, wakati wa hafla ya upigaji kengele maalumu inayolenga…

Read More

Mbarali kutumia Sh2.5 bilioni kukamilisha miradi viporo

Mbeya. Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, imekuja na mikakati maalumu ya kufanya tathmini na kutenga bajeti ya Sh2.5 bilioni kukamilisha miradi viporo kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Kauli hiyo imekuja leo Machi 6, 2026, baada ya wananchi wa Kata ya Kongoro Mswisi, wilayani humo, kuiangukia halmashauri kuomba kukamilisha ujenzi wa miradi mbalimbali, ikiwepo…

Read More