Maofisa elimu wakumbushwa nidhamu, itifaki kazini
Dar es Salaam. Wakati jitihada za kuboresha sekta ya elimu nchini zikiendelea kuchukua nafasi kubwa katika mijadala ya kitaifa, viongozi wa elimu wametakiwa kuzingatia nidhamu, itifaki na tabia njema ili kuongeza ufanisi katika usimamizi wa sekta hiyo. Wito huo umetolewa jijini Arusha katika Mkutano Mkuu wa 12 wa Umoja wa Maofisa Elimu wa Mikoa na…