Shahidi aeleza alivyokamata vielelezo kesi ya Malisa
Moshi. Shahidi wa pili wa upande wa Jamhuri katika kesi ya makosa ya kimtandao inayomkabili Mchungaji Godfrey Malisa, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi jinsi alivyoenda kupekua nyumbani kwa Malisa na kukusanya vielelezo vinne ambavyo ni simu, kompyuta (laptop) mbili pamoja na chaja moja ya laptop. Shahidi huyo, Mkaguzi wa Polisi, Nickson Mwamnyasi wa Kituo…