DKT. MUYUNGI ATETA NA UJUMBE KUTOKA UBALOZI WA UINGEREZA ULIOPO TANZANIA
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (kulia) akizungumza jambo wakati wa kikao chake na wawakilishi wa Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania uliongozwa na Kiongozi wa Programu Endelevu ya Mazingira kutoka Ubalozi wa Uingereza Nchini Tanzania, Bw. Euan Davidson. Kikao hicho kilifanyika katika Ofisi ndogo ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Luthuli…