Msimu Mgumu Kwa Wolverhampton Wanderers, Je Wataokoka Premier League?
Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet leo unaweza ukabashiri mechi za Wolves?. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi kwenye mechi hii kwa kuchagua machaguo uayatakayo. Timu ya Wolverhampton Wanderers ikiwa ni timu yenye historia ndefu na mashabiki wa dhati, inakabiliana na msimu wa changamoto mkubwa wa ligi ya Uingereza. Hadi sasa, Wolves wako katika…