Kituo cha Afya Kataryo kusogeza huduma kwa wananchi

Zaidi ya wakazi 13,200 wa Kata ya Tegeruka pamoja na vijiji jirani katika Wilaya ya Musoma Vijijini mkoani Mara wanatarajiwa kuondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya kwa ngazi ya kituo cha afya na kuendelea baada ya Serikali kutoa Sh250 milioni kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Kituo cha Afya Kataryo….

Read More

Programu ya AI yawasaidia wanafunzi wa sayansi Dodoma

Dodoma. Katika kuunga mkono juhudi za Serikali za kuimarisha sekta ya elimu nchini, hususan katika masomo ya sayansi na teknolojia, kituo cha Tanzania School of CommunityNetworkskimeanzisha programu maalumu ya kuwasaidia wanafunzi wa masomo ya sayansi kujifunza kwa kutumia teknolojia ya akili unde (AI). Programu hiyo inatekelezwa katika kituo kilichopo Nzuguni, jijini Dodoma ikiwa na lengo…

Read More

Shahidi aeleza washtakiwa walivyokiri kuhamisha fedha

‎Dar es Salaam. Askari Polisi mwenye namba G 2325, Sajenti Joseph (41) ameieleza Mahakama jinsi mshtakiwa, Respicius Magesa (54) na mwenzake Andrew Kamugisha (47) walivyokiri kutenda kosa la kughushi na kuhamisha Sh159 milioni, kutoka akaunti binafsi kwenda katika akaunti ya Sekondari ya Macmillian.‎ ‎Joseph, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Alhamisi Machi 5, 2026,…

Read More

Mapigano ya hivi punde ya mpaka wa Afghanistan na Pakistan, mauaji ya mwanaharakati wa haki za wanawake wa Iraq yalaaniwa, hatua muhimu ya ugonjwa wa ukoma wa Chile – Global Issues

Ofisi ya uratibu wa misaada, OCHAiliripoti kuwa takwimu za majeruhi “bado haziwezi kuthibitishwa kwa kujitegemea” kwa sababu ya ufikiaji mdogo. Shule na masoko katika wilaya kadhaa za mpakani zimesalia kufungwa huku kukiwa na hali ya kutokuwa na utulivu inayoendelea, wakati moto wa chokaa umelazimu familia kukimbia vijiji kaskazini magharibi mwa Pakistan. Shughuli za misaada katika…

Read More

Mkongomani Namungo awekewa mkataba mpya

UONGOZI wa Namungo FC, uko katika mazungumzo ya kumwongezea mkataba mpya mshambuliaji wa kikosi hicho, Mkongomani, Fabrice Ngoy, baada ya mabosi wa timu hiyo kuridhishwa na kiwango chake. Akizungumza na Mwanaspoti, Mratibu wa Namungo, Ally Suleiman alisema mazungumzo na nyota huyo ili kuongeza mkataba mpya yameanza na yamefikia katika hatua nzuri, baada ya kuridhishwa na…

Read More

Wamiliki wa viwanda wakumbushwa kuboresha mazingira ya kazi

Pwani. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Rahma Kisuo ameziagiza menejimenti za viwanda mkoani Pwani kuboresha mazingira ya kazi na maslahi ya wafanyakazi ili kuhakikisha uzalishaji unakuwa endelevu na wenye tija. Kisuo ametoa agizo hilo Machi 4, 2026 wakati wa ziara yake ya kufuatilia utekelezaji wa sheria mbalimbali za…

Read More

Bonasi yaibua ushindani BDL | Mwanaspoti

NAHODHA wa Stein Warriors, Mwalimu Herry amekiri kuna mabadiliko makubwa katika mchezo huo, yakichangiwa na udhamini pamoja na bonasi zinazotolewa kwa wachezaji. Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam imekuwa ikipiga hatua kila msimu kutokana na kuwepo kwa wadhamini tofauti na miaka ya nyuma na hii imeongeza ushindani kwa wachezaji wakiwania pia kupata bonasi….

Read More

Wanawake, watoto 41,000 kunufaika usawa wa kijinsia

Unguja. Katika wiki ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, mradi wa pamoja wa kukuza usawa wa kijinsia umezinduliwa ukilenga kuwanufaisha zaidi ya wanawake na watoto 41,000 nchini. Mradi huo wa miaka mitano, unaofadhiliwa na Benki ya Dunia (WB), unalenga kutoa mikopo yenye masharti nafuu pamoja na kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia. Mbali…

Read More