Mtandao wa utapeli wanaswa na laini 198, kadi 148 za benki
Morogoro. Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limefanikiwa kuvunja mtandao wa utapeli wa simu, maarufu halohalo, baada ya kuwakamata watuhumiwa 10. Katika operesheni hiyo, polisi pia wamekamata laini 198 za simu na kadi 148 za benki kutoka taasisi mbalimbali za kifedha. Watuhumiwa hao walikamatwa Machi 3, 2026 katika operesheni maalumu iliyofanyika Kitongoji cha Magoha, Kata ya…