DMO Kahama azomewa, Kihongosi akisikiliza kero za wananchi

Kahama. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi ametumia takribani saa tatu kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Phantom mjini Kahama, huku Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO), Baraka Msumi akizomewa na wananchi wakati akijibu malalamiko ya huduma za afya. Kihongosi yupo mkoani…

Read More

DMO kahama azomewa, Kihongozi akisikiliza kero za wananchi

Kahama. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi ametumia takribani saa tatu kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Phantom mjini Kahama, huku Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO), Baraka Msumi akizomewa na wananchi wakati akijibu malalamiko ya huduma za afya. Kihongosi yupo mkoani…

Read More

Ridhiwani: Tumieni Ramadhani kuombea amani ya Taifa

Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Ridhiwani Kikwete amewataka Watanzania kuutumia mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuendelea kuiombea na kudumisha amani ya Taifa. Amesema maendeleo ya kiuchumi hayawezi kufikiwa pasipo kuwepo amani na Tanzania imefanikiwa kuwa na mazingira ya amani na kuwa moja ya mataifa yanayovutia uwekezaji. Waziri Ridhiwani…

Read More

Hakuna Nchi Duniani Imefikia Usawa Kamili wa Kisheria kwa Wanawake na Wasichana – Masuala ya Ulimwenguni

Credit: UN Women/Marcela Erosa Maoni na UN Women (new york) Alhamisi, Machi 05, 2026 Inter Press Service NEW YORK, Machi 5 (IPS) – Tarehe 8 Machi 2026, Siku ya Kimataifa ya WanawakeUN Women yatoa tahadhari ya kimataifa: mifumo ya haki inayokusudiwa kuzingatia haki na utawala wa sheria unashindwa wanawake na wasichana kila mahali. Wanawake duniani…

Read More

Aucho mambo safi Singida BS, rasmi arejea kazini

UONGOZI wa Singida Black Stars, umetangaza kumsamehe kiungo wa timu hiyo, Khalid Aucho na kumrejesha kazini kuanzia leo Machi 5, 2026 baada ya kufanyika kwa majadiliano na tathmini ya kina kufuatia tukio lililotokea wakati wa mazoezi ya timu. Februari 27, 2026, uongozi wa Singida Black Stars ulitangaza kumsimamisha Aucho kwa miezi mitatu kwa tuhuma za…

Read More

UNDP, Serikali ya Uingereza Yawakutanisha Viongozi wa Vyuo Vikuu Kuchochea Ubunifu na Ujasiriamali Zanzibar

 Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP Tanzania), kwa ushirikiano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Chuo cha Indian Institute of Technology Madras Zanzibar (IIT Madras Zanzibar), limewakutanisha viongozi wa vyuo vikuu, watunga sera na wadau wa mifumo ya ubunifu kutoka Afrika Mashariki kuanzia Machi 4–6, 2026, katika Mpango wa Kihistoria wa…

Read More