CCM Yaipa Tano Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar, Wananchi Wa Kikwajuni
Bakari Mahundu March 5, 2026 0 Comments Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeipongeza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na wakazi wa majumba ya Mjerumani Kikwajuni kwa kufikia maridhiano ambayo sasa yanatoa nafasi ya kuanza utekelezaji wa mradi ujenzi wa nyumba bora za kisasa ambazo zinatarajiwa kubadili…