Chelsea Waifumua Aston Villa 4-1, Man City Yalazimishwa Sare, Arsenal Washinda
Global Publishers March 5, 2026 0 Comments Chelsea imeonyesha ubora mkubwa baada ya kuichapa Aston Villa mabao 4-1 katika mechi ya kusisimua ya Ligi Kuu England. Villa walianza vyema kwa kupata bao la mapema dakika ya 3 kupitia kwa Douglas Luiz, lakini Chelsea walijibu kwa nguvu na kusawazisha kupitia kwa João Pedro dakika ya 35…