Mgambo watatu mbaroni kwa tuhuma za mauaji

Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia askari mgambo watatu kwa tuhuma za mauaji ya Rashid Nyandonga (31), fundi simu na mkazi wa Bugando Jeshini, Wilaya ya Nyamagana mkoani humo. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa, iliyotolewa leo, Jumapili, Machi 22, 2026, imeeleza kuwa mgambo hao walikamatwa usiku wa Machi…

Read More

STARTIMES WAMESHUSHA TENA BURUDANI KWA WATEJA WAO.

KUELEKEA Msimu wa Sikukuu za Eid na pasaka Kampuni ya Startimes imezindua rasmi Kampeni ya “Lipa tukubusti” itakayodumu mwezi mmoja tu ili kuwaweka karibu watazamaji wake kiburudani na kimichezo 100% kipindi hiki cha Sikukuu. Akizungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, Meneja Masoko wa Kampuni ya Startimes David Malisa amesema msimu huu wa Sikukuu familia…

Read More

TPA KUFUNGUA MILANGO YA BIASHARA KIMATAIFA

Na Mwandishi Wetu  Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari  Tanzania (TPA) inaendelea kufungua fursa za uwekezaji katika sekta ya meli ili kuimarisha usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi. Katika juhudi hizo, TPA ilipokea maombi kutoka kampuni ya Gold Voyage Logistics Limited, tanzu ya Zijin Mining Group Co. Ltd, ya kukodisha eneo katika…

Read More

Furahia na dumisha ndoa yako kisayansi

Kwa muda mrefu, ndoa imekuwa ikitazamwa kama jambo la hisia, bahati au mapenzi yasiyo na maelezo. Watu wengi huamini kuwa ndoa ikianza vizuri, basi itaendelea kuwa nzuri, au ikianza kwa shida, basi ni mkosi wa maisha. Lakini utafiti wa kisayansi umeanza kubadilisha mtazamo huu. Leo, sayansi inaonesha kuwa ndoa yenye furaha si bahati nasibu, bali…

Read More

Daraja linalounganisha Bamba na Dege Kigamboni lakatika

Dar es Salaam. Wananchi wa Kigamboni wameeleza adha wanayopitia kutokana na kukatika kwa daraja linalounganisha eneo la Bamba na Dege, Kigamboni jijini Dar es Salaam kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Leo Jumapili, Machi 22, 2026, Mwananchi imefika eneo hilo na kushuhudia utepe wa njano ukiwa umezungushwa kuanzia mita kama 50 kutoka daraja lililokatika, ili kuzuia…

Read More