Serikali kuendelea kuwawezesha wanawake kutumia nishati safi

Dar es Salaam. Serikali imeahidi kuendelea kuweka mazingira wezeshi yatakayohakikisha wanawake wanashiriki kikamilifu katika mnyororo wa thamani wa nishati safi, kuanzia uzalishaji wa majiko banifu hadi usambazaji wa teknolojia za kisasa za kupikia. Ahadi hiyo imetolewa leo Jumatano Machi 4, 2026 na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima…

Read More

Mikakati mipya ya Baresi KMC

KOCHA wa KMC, Abdallah Mohamed ‘Baresi’, amesema mechi tano zijazo za Ligi Kuu Bara kwa kikosi hicho zitakuwa za uamuzi mgumu wa kuamua hatima yao, japo jambo nzuri kwao kama benchi la ufundi ni kuona ratiba hiyo itaanza kuanzia mwezi ujao. Akizungumza na Mwanaspoti, Baresi alisema kutokuwa na mechi yoyote kwa mwezi huu ni jambo…

Read More

Mechi tano zatibua mambo Mbeya City

MWENENDO usioridhisha wa Mbeya City kwa sasa katika mechi za Ligi Kuu msimu huu, zimemweka kwenye wakati mgumu kocha wa timu hiyo, Mecky Maxime, huku presha ikizidi zaidi baada ya juzi kikosi hicho kuchapwa bao 1-0, dhidi ya Fountain Gate. Mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine jijini, Mbeya, Mbeya City ilishindwa kutamba nyumbani na…

Read More

Nyota Azam awekwa chini ya uangalizi

KIUNGO mshambuliaji wa Azam, Nassor Saadun amewekwa chini ya uangalizi wa madaktari wa kikosi hicho baada ya kutoonekana uwanjani kutokana na majeraha ya nyama za paja. Akizungumza na Mwanaspoti, Daktari wa Azam, Mbaruku Mlinga, alisema mchezaji huyo amepata majeraha hayo ya kusumbuliwa na nyama za paja ndio maana hajaonekana uwanjani kwa muda sasa, ingawa maendeleo…

Read More

MJOMBA MATATANI KWA KUMPIGA NA KUMNING’INIZA MTOTO DIRISHAJI KWA KUUNGUZA MBOGA

 Jeshi la Polisi nchini Tanzania linamshikilia Joseph Mbalamwezi Francis Mkazi wa Mtaa wa Imalamakoe B, Wilayani Urambo, Mkoani Tabora kwa tuhuma za kumfanyia mtoto ukatili wa kufungwa kamba miguuni na mikononi na kisha kumning’iniza dirishani. Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime ameviambia Vyombo vya habari leo Jumatano  Machi…

Read More

‘Ulimwengu unakutafuta kwa uwazi’, mkuu wa Umoja wa Mataifa anawaambia wataalam wa AI – Global Issues

“Mmoja mmoja, mnatoka katika maeneo na taaluma mbalimbali, na kuleta utaalamu bora katika AI na nyanja zinazohusiana. Kwa pamoja, unawakilisha kitu ambacho ulimwengu haujawahi kuona,” Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliwaambia wanasayansi Jumanne katika mkutano wa kwanza wa Jopo Huru la Kimataifa la Sayansi kuhusu AI. Wataalamu hao 40 wanalenga kusaidia kuziba “pengo la maarifa…

Read More

Mtaalamu azungumzia faida, fursa katika sekta ya gesi

Dar es Salaam. Mtaalamu wa Nishati ya Gesi kutoka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Mhandisi Geturu Bosinge, amesema watu wengi hawana ufahamu wa kutosha kuhusu faida za nishati ya gesi asilia katika matumizi mbalimbali, ikiwemo magari na mafuta. Amesema sekta ya gesi asilia ina fursa nyingi ambazo bado hazijafahamika wala kutumiwa kikamilifu na…

Read More

DG EWURA ASHIRIKI KIKAO CHA WADAU WAKUU WA MAFUTA NCHINI

********** Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Dkt James Mwainyekule, leo, 4 Machi, 2026 ameshiriki kikao cha ngazi ya juu cha wamiliki wa kampuni za bidhaa za mafuta aina ya petroli nchini (OMCs) kilichoitishwa na Waziri wa Nishati Mhe. Deogratias Ndejembi (Mb) ili kujadili mikakati ya iliyowekwa na serikali kuimarisha hali ya upatikanaji wa mafuta hususani kipindi…

Read More