Udhibiti dawa za kulevya Tanga wapunguza waraibu
Tanga. Upatikanaji wa dawa ya kulevya aina ya heroini umeelezwa kuwa mgumu katika Jiji la Tanga, hali inayotajwa kuwa matokeo ya kuimarika kwa udhibiti dhidi ya uingizwaji na usambazaji wa dawa hizo. Daktari wa afya ya akili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo, Wallace Karata, amesema kupungua kwa upatikanaji wa heroini ni…