Sintofahamu ya sheria na raia kugonga treni
Dar es Salaam/mikoani. Ndani ya takribani mwezi mmoja, vimetokea vifo vya watu wawili waliogonga treni katika matukio tofauti, ambavyo vimeibua maswali lukuki kuhusu uzingatiaji wa sheria za reli, tahadhari zinazotolewa katika vivuko na nidhamu ya watumiaji wa barabara. Tukio la karibuni lilitokea Februari 23, 2026 katika eneo la Tabata Relini (Mwananchi) jijini Dar es Salaam…