UCHAMBUZI WA MJEMA: Balozi Nchimbi alivyoanzisha safari ya maridhiano kiana
Ukimsikiliza Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi alipokuwa akizungumza katika Misa Takatifu ya mazishi ya Mwadhama Polucarp Kardinali Pengo, unaweza kudhani ni maneno ya kisiasa, lakini ukweli ameanzisha safari ya maridhiano. Alichokisema Balozi Nchimbi ni nadra sana kusikia kutoka kwa makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambao ni wahafidhina (conservatives) ambao hawataki mabadiliko na wanachukulia…