Bei za mafuta juu, dizeli ikiongezeka bei mara mbili

Dar es Salaam. Watimiaji wa bidhaa za mafuta Tanzania wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) kutangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu. Katika bei hizo, watumiaji wa mafuta ya dizeli wameshuhudia ongezeko la bei mara mbili zaidi ikilinganishwa na wale wa petroli na mafuta…

Read More

Ondoka na Mshiko Ndani ya Meridianbet Leo

JE unajua kuwa siku ya leo unaweza kuondoka na mkwanja wako ndani ya Meridianbet kwani mechi za ushindi zote zinachezwa hapa. Suka jamvi lako la uhakika na ushide siku ya leo. Ligi kuu pendwa ya Uingereza EPL, inaendelea AFC Bournemouth atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Brentford ambao wapo nafasi ya 7 huku wenyeji wao…

Read More

TURACO YASHIRIKI JUKWAA LA UTALII ITB-BERLIN, YAIPONGEZA TTB

Na Mwandishi Wetu, Berlin, Ujerumani. MKURUGENZI wa Mauzo wa Turaco Collection Tanzania, Florenso Kirambata akiziwakilisha hotel zao katika maonesho ya ITB- Berlin anasema kwamba, maonesho hayo ni eneo jema kabisa la kujitangaza kubadilishana uzoefu hasa katika dunia ambayo walaji (watumiaji wa huduma) wamekuwa wakibadilika kutokana na mazingira yanayotokea duniani. Florenso amebainisha kuwa, Turaco Collection kwa…

Read More

Watu 10 Wakamatwa kwa Tuhuma za Ujasusi wa IRGC Nchini Qatar

Global Publishers March 4, 2026 0 Comments Nchi ya Qatar imetangaza kukamatwa kwa watu 10 wanaoshukiwa kuwa majasusi wanaohusishwa na Iran. Kwa mujibu wa shirika la habari la serikali, vikosi vya usalama vilifanikiwa kuvunja “seli mbili” zilizokuwa zikifanya kazi kwa niaba ya Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC). Watu saba walidaiwa kupewa jukumu la kukusanya taarifa…

Read More

Gueye, Oura wamuibua Barker | Mwanaspoti

VIWANGO vya nyota wapya wa Simba, Libasse Guaye na Anicet Alain Oura, ambao wamesajiliwa katika dirisha dogo la Januari 2026, vimeanza kuvutia katika safu ya ushambuliaji ya wekundu wa Msimbazi huku kocha Steve Barker akitaka kuona muendelezo kutoka kwa wachezaji hao. Guaye amefunga…

Read More