Meneja Singida BS atuma salamu Yanga
MENEJA Mkuu wa Singida Black Stars, Othmen Najjar amesema kikosi kipo tayari kwa mtihani wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga itakayochezwa Alhamisi hii Machi 5, 2026, akiweka wazi maandalizi yao yamejikita zaidi katika umakini, nidhamu na matumizi sahihi ya nafasi. Najjar amekiri wazi kwamba, takwimu haziko upande wao, akieleza kuwa Yanga imeshinda mechi sita…