Samia Aagiza Ubora na Kasi Katika Ujenzi wa Matanki ya Mafuta
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa maelekezo mahsusi kuhakikisha mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea na kuhifadhi mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam unatekelezwa kwa viwango vya juu vya ubora na kukamilika kwa wakati uliopangwa. Akizungumza Machi 3, 2026, katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la…