Mwenyekiti mpya CUF kuanza na maridhiano ya ndani

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Mirambo Yusuf ametangaza mipango ya kukijenga upya chama hicho kupitia maridhiano ya ndani yatakayolenga kumaliza migogoro ya muda mrefu iliyokikumba. Mbali na hilo, amesema anatarajia kufanya marekebisho ya katiba ya chama, hususan katika eneo la kuwatambua na kuthamini mchango wa viongozi waliowahi kukitumikia. Kwa mujibu wa…

Read More

MBUNGE BAGAMOYO AKABIDHI MAGARI KWA TANESCO

………… 📌Lengo ni kupunguza muda wa kushughulikia hitilafu na kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wateja 📌Asema TANESCO imeimarika, imetoka katika kutengeneza hasara 📍Bagamoyo, Pwani Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Mhe. Subira Mgalu leo Machi 03, 2026 amekabidhi magari mapya kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kwa lengo la kuimarisha huduma kwa…

Read More

VIJANA 168,657 WANUFAIKA MAFUNZO UANAGENZI

Serikali imesema itaendelea kuratibu na kuimarisha Sera, Sheria na Miongozo inayosimamia programu za Mafunzo ya Uanagenzi na kuhamasisha sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kutoa nafasi za mafunzo kwa vitendo kwa wanagenzi nchini. Waziri wa Nchi Ofisi ya Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Deus Sangu amesema hayo leo Machi 03,2026 katika chuo cha ufundi stadi Daon…

Read More

Diaspora kuvutwa uwekezaji kwenye hisa Tanzania

Dar es Salaam. Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) limeshauriwa kuongeza nguvu ili kuwavuta Watanzania wanaoishi nje ya nchi kuwekeza katika soko la mitaji na dhamana. Kuwekeza kwao kutafanya Tanzania kupata fedha za kutosha kuendesha baadhi ya miradi na kuchochea uchumi wa nchi. Hayo yamesemwa leo Jumanne, Machi 3, 2026 katika jukwaa la…

Read More