Manahodha Bara watia neno kanuni za Ligi Kuu

WAKATI kumekuwa na mijadala kuanzia mtaani hadi mitandaoni kuhusu kanuni za Ligi Kuu Bara msimu huu ambao zimeonekana kuuma kwelikweli, baadhi yaa mastaa na manahodha wa klabu za ligi hiyo wameshindwa kujizuia na kuzungumza. Kama hujui, kuna baadhi ya kanuni za Ligi Kuu zinazowahusu moja kwa moja wachezaji lengo likiwa ni kulinda nidhamu ya mechi…

Read More

Azam vs Yanga kupigwa Chamazi

MAJIBU ya maswali kuhusu wapi Dabi ya Dar es Salaam kati ya Azam FC dhidi ya Yanga katika Ligi Kuu itachezwa yamepatikana baada ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kufungiwa kupisha maboresho yanayolenga Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2027. Dabi hiyo itakayochezwa Machi 15, 2026 imehamishiwa Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es…

Read More

Baba Levo, AG kidedea, mahakama yakataa nyaraka kukaguliwa

Kigoma. Mahakama Kuu Kigoma, imekataa maombi ya kukagua na kujiridhisha kuhusu nyaraka mbalimbali za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 katika jimbo la Kigoma Mjini. Nyaraka hizo ni pamoja na kujiridhisha juu ya uwepo wa nakala halisi ya daftari la wapiga kura lililotumiwa katika kila kituo cha uchaguzi kuidhinisha mpigakura, fomu za matokeo kwa kila…

Read More

Rais Trump: Viongozi wa Iran Wanataka Tuzungumze ‘Wamechelewa’

Rais wa Marekani, Donald Trump Rais wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kuishambulia Iran kwa maneno makali akidai kuwa viongozi waliosalia wa Tehran sasa wanataka mazungumzo, lakini “muda umechelewa.” Kupitia akaunti yake ya Truth Social, Trump aliandika: “Ulinzi wao wa anga, Jeshi la Anga, Jeshi la Wanamaji na uongozi wao umeondoka. Wanataka kuzungumza. Nilisema ‘Too Late!’…

Read More

Hasheem Thabeet kuanza na haya kikapu

RAIS mpya wa TBF, Hasheem Thabeet amesema mambo mazuri yanakuja baada ya kuchaguliwa kuliongoza shirikisho hilo la mpira wa kikapu nchini akigusia ligi ya kikapu kupigwa mikoa yote. Thabeet ambaye ni mchezaji wa zamani wa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya NBA alisema ligi ambayo ni maarufu nchini kwa sasa ni ya Dar Es Salaam…

Read More

Mbegu za asili zaidi ya 1,000 zimeingizwa kwenye mfumo rasmi

Dodoma. Serikali imesema kuwa hadi sasa imefanikiwa kutunza mbegu za asili zaidi ya aina 1,000 ambazo zimeingia kwenye mfumo rasmi ili kuwawezesha wakulima kulima kilimo hai na kutunza mazingira katika mtindo wa ikolojia. Aidha kupitia Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (Tari) wizara imefanikiwa kukusanya, kusafisha na kuhifadhi jumla ya mbegu za asili 770 katika mazao…

Read More

Fountain Gate yailaza Mbeya City kwao

MBEYA City imeendelea kuwa na matokeo ya kusuasua kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kuchapwa bao 1-0 na Fountain Gate kwenye mechi kali ya kufunga mzunguko wa kwanza kwa timu hizo iliyopigwa leo Machi 3, 2026 kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Mbeya City ambayo ipo chini ya kocha mzoefu, Mecky Maxime, haijafanya vizuri kwenye mechi…

Read More