Vijana 6,000 kufanya kazi nje, Serikali kuwachongea njia

Dodoma. Serikali imesema licha ya kutoa fursa kwa vijana kupata mafunzo ya uanagenzi bila gharama, mwitikio bado ni hafifu. Hata hivyo, imetangaza mkakati wa kuwaunganisha zaidi ya vijana 6,000 katika fursa za kimataifa, ambapo awamu ya kwanza vijana 1,000 watakwenda kufanya kazi nchini Qatar. Kauli hiyo imetolewa Jumanne Machi 3, 2026 na Waziri wa Nchi,…

Read More

Mara yapanga bajeti ya Sh488.9 bilioni

Musoma. Sekretarieti ya Mkoa wa Mara pamoja na Mamlaka za Serikali za Mitaa mkoani humo zinatarajia kutumia zaidi ya Sh488.9 bilioni katika mwaka wa fedha 2026/27 kwa ajili ya kutekeleza shughuli za sekretarieti ya mkoa na mamlaka za serikali za mitaa. Kiasi hicho cha fedha kinatarajiwa kutumika kwa ajili ya mishahara, matumizi mengineyo na miradi…

Read More

KWANINI SERIKALI INAMILIKI HISA CHACHE KWENYE KAMPUNI

::::::::: Na Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Serikali imesisitiza kuwa uamuzi wake wa kumiliki hisa chache katika baadhi ya kampuni nchini na nje ya nchi unalenga kushiriki katika maamuzi ya kimkakati na kuhakikisha uwekezaji wake, ambao kwa sasa umefikia Sh1.94 trilioni, unaleta tija kwa Taifa. Kauli hiyo ilitolewa Jumanne, Machi 3, 2026 na Bi….

Read More