TUME YA UCHUNGUZI YAKUTANA NA ABDULRAHMAN KINANA
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Machi 2, 2026 imekutana na mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Abdulrahman Kinana. Mkutano huo wa Tume na Kinana umefanyika katika ukumbi wa Tanganyika uliopo jengo la Benki Kuu ya Tanzania…