Israel Yatangaza Mashambulizi Makubwa Dhidi ya Miundombinu ya Iran Jijini Tehran
Global Publishers March 3, 2026 0 Comments Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kuwa Jeshi lake la Anga limefanya mashambulizi makubwa yaliyolenga miundombinu ya juu ya kisiasa na kiusalama ya Iran, ikilenga “miundombinu muhimu ya kisiasa na kiusalama” katika mji mkuu wa Tehran. Kupitia taarifa iliyochapishwa kwenye ukurasa rasmi wa Telegram, IDF ilieleza kuwa…