Kliniki ya ardhi yazinduliwa Kibaha kuelekea Siku ya Wanawake Duniani
Kibaha. Wananchi wa Manispaa ya Kibaha mkoani Pwani, wameanza kunufaika na huduma mbalimbali za masuala ya ardhi zinazotolewa bila malipo kupitia Kliniki ya Ardhi inayoendelea kufanyika kwa siku sita kuanzia Machi 2 hadi Machi 8, 2026. Kliniki hiyo ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofikia kilele chake Machi 8, mwaka…