Rais Samia Ahitimisha Ziara ya Siku Mbili Arusha
Global Publishers March 2, 2026 0 Comments Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Machi 02, 2026 amehitimisha ziara yake ya kikazi ya siku mbili Mkoani Arusha. Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha CPA…