Wale wa kubania ushuzi, mnalijua hili…

Dar es Salaam. Umewahi kujamba mbele ya mwenza wako, rafiki au wafanyakazi wenzako? Achana na aibu na fedheha ulioipata, kitaalamu ulifanya tendo sahihi kwa masilahi ya afya yako. Kwa taarifa yako, kubania ushuzi kunakuweka katika hatari ya kupatwa na magonjwa kadhaa yasiyoambukiza, ikiwemo saratani, kama ilivyofafanuliwa katika ripoti za tafiti mbalimbali na wataalamu wa afya….

Read More

Hukumu kesi ya wizi mafuta TPA kutolewa Jumatano

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Machi 26, 2026 kutoa hukumu katika kesi ya wizi wa mafuta na kuharibu bomba la mafuta inayomkabili aliyekuwa dereva wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Tino Ndeketa (45) na wenzake saba. ‎Washtakiwa hao wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba 30189 ya mwaka 2024 yenye mashtaka…

Read More

Watoto 162,099 Maswa kupatiwa chanjo ya matone ya polio

Maswa. Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Dk Vincent Anney, amewataka wazazi na walezi kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kuanzia miaka sifuri hadi 10 wanapatiwa chanjo ya matone ya polio ili kuwalinda dhidi ya ugonjwa huo, unaoweza kusababisha ulemavu wa kudumu. Rai hiyo imetolewa leo Machi 24, 2026 wakati akizindua rasmi kampeni ya…

Read More

TANZANIA YAONGEZA KASI KUTOKOMEZA KIFUA KIKUU; WITO WA USHIRIKIANO WATOLEWA

Na John Mapepele Waziri wa Afya, Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania leo, Machi 24, 2026 imeungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kifua Kikuu Duniani, siku maalum inayolenga kuongeza jitihada za kupambana na ugonjwa huu hatari unaoendelea kuathiri mamilioni ya watu duniani. Amewataka watanzania kuendelea kushirikiana na Serikali ili kutokomeza ugonjwa huo hapa nchini….

Read More

Watoto 162,099 Maswa kupatiwa chanjo ya matone ya polio.