SBL YAZINDUA SERENGETI PREMIUM APPLE CHA KITANZANIA
::::::::::::: Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua rasmi Serengeti Premium Apple, ikiweka historia kama kinywaji cha kwanza chenye hadhi ya juu ‘Ready-to-Drink (RTD)’ kutengenezwa hapa nchini Tanzania. Uzinduzi huu unalenga kubadili mtazamo wa soko ambalo kwa muda mrefu limetawaliwa na bidhaa za kuagiza kutoka nje ya nchi, kwa kuanzisha bidhaa ya kisasa, ya kiwango cha kimataifa,…