Dabi ya Kariakoo yaziachia mtego Simba, Yanga
BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) haitaki kuchelewesha mambo. Imetoa ratiba mpya ya kuziba viporo vyote vilivyokuwepo hasa vikihusu Yanga, Simba, Azam FC na Singida Black Stars zilizokuwa zikishiriki michuano ya CAF msimu huu. …