CHONGOLO ASISITIZA ULINZI MRADI WA UMWAGILIAJI MKOMBOZI KWA MANUFAA YA WATANZANIA WOTE
NIRC Iringa Waziri wa Wizara ya Kilimo, Daniel Chongolo, amesisitiza ulazima wa kulindwa kwa Mradi wa Umwagiliaji Mkombozi uliopo Pawaga mkoani Iringa, akieleza kuwa uwekezaji huo wa serikali unalenga kuongeza uzalishaji wa mpunga, kuinua kipato cha wakulima na kuchangia usalama wa chakula kwa manufaa ya Watanzania wote. Chongolo ameyasema hayo Februari 27 baada ya kutembelea…