Kabla ya dabi, Yanga na Simba zatofautiana tena namba
WAKATI ikisubiriwa kwa hamu leo mechi ya ‘Kariakoo Derby’ itakayopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, rekodi zinaonyesha wachezaji wa Yanga wamefanya vizuri zaidi katika mechi 10 za msimu huu, tofauti na watani zao Simba. …