Rais Samia atahadharisha uhuru wa kuabudu usivuke mipaka
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kulinda uhuru wa kila Mtanzania kuabudu kulingana na imani yake, huku akisisitiza umuhimu wa kuheshimu mipaka ya uhuru huo ili kudumisha amani na mshikamano wa taifa. Ameyasema hayo leo Jumamosi, Machi 21, 2026 wakati akishiriki Baraza la Idd El-Fitr lililofanyika jijini Dar es Salaam. Akizungumza…