‘Endelezeni mema baada ya Ramadhan’

Pemba. Waumini wa dini ya Kiislamu wamehimizwa kuendeleza amali njema walizokuwa wakizifanya katika mwezi mtukufu wa Ramadhan ili kustahili malipo mema Akhera. Wito huo umetolewa na Sheikh Hamad Khamis mara baada ya kumalizika kwa swala ya Idd El-Fitr iliyoswaliwa katika Msikiti wa Ijumaa Sizini, Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba. Akizungumza na waumini hao,…

Read More

Rais Mwinyi awataka wananchi kuendeleza maadili ya swaumu

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema wametekeleza ibada ya swaumu katika hali ya amani na utulivu, hivyo kuwataka wananchi kuendelea kudumisha mshikamano na kuleta umoja kwa maslahi ya Taifa hilo. Pia, amewataka kuendeleza mema waliyoyafanya wakati wa swaumu kwani kitabu kitukufu cha Quran hakina ukomo wa kufanya mema jambo ambalo litachochea ustawi wa…

Read More

Sheikh Njalambaha awapigia ‘chapuo’ vijana serikalini

Mbeya. Serikali imeombwa kuongeza jitihada za kuwawezesha vijana kiuchumi ili kuwaondoa katika makundi yasiyofaa, huku jamii ikihimizwa kuendeleza matendo mema, mshikamano na kusameheana hata baada ya kumalizika kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Wito huo umetolewa leo Jumamosi Machi 21, 2026 na Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, Alhaji Sheikh Msafiri Njalambaha wakati akizungumza na waumini kwenye…

Read More

GGML Kili Challenge Yashiriki Maonesho ya Kilimanjaro Marathon 2026

Moshi, Tanzania GGML Kili Challenge inayotekelezwa kupitia GGML Kili Trust, inashiriki Kilimanjaro Marathon 2026, maarufu kama “Mbio za Watu”, kupitia maonesho yanayofanyika katika viwanja vya Ushirika, Moshi, yaliyoanza tarehe 20 na kuendelea hadi 22 Machi.  GGML Kilimanjaro Challenge Against HIV/AIDS ni mpango wa kuhamasisha ushiriki wa wadau mbalimbali katika mapambano dhidi ya UKIMWI nchini. Kupitia…

Read More

Hivi unaishi au unategemea ndoto?

Kuna wakati watoto wa mjini walipiga hela kiulaini sana. mtu aliivizia nguzo ya umeme usiku pasipo na watu, akaibandika karatasi lililoandikwa “Mpigie Mganga wa Ndoto”. Chini akaweka namba kwa maandishi makubwa na wino uliokolezwa zaidi. Watu wakaota, wakapiga simu naye akawajibu baada ya muamala wake kusoma. Ni rahisi sana, haina Brela wala TRA.

Read More

Jinsi mtuhumiwa mauaji ya Nyanza alivyonaswa

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema kuwa limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya Athumani Nyanza, ambaye mwili wake ulipatikana umefukiwa kwenye shimo karibu na makazi yake, Mtaa wa Kimya Kimya, Chanika jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa za awali, Nyanza anadaiwa kuuawa na…

Read More

Baba alivyojaribu kupangua ushahidi wa kumkata mwanae vipande na kuvitumbukiza chooni-3

Jana katika sehemu ya pili ya simulizi ya mauaji ya kikatili ya mtoto Timotheo Mhulila, ambaye aliuawa na kisha kukatwa vipande vipande na kutumbukizwa chooni, tuliona namna shahidi ambao ni askari polisi walivyoeleza namna mshitakiwa, Joseph Mhulila alivyokiri. Katika ushahidi huo, shahidi aliyeandika maelezo ya onyo ya mshitakiwa, alieleza kuwa Mhulila katika maelezo yake aliweka…

Read More