FORLAND YAHAMASISHA MATUMIZI YA MITI MINGINE YA ASILI

Na Mwandishi Wetu Michuzi Tv WIZARA ya Maliasili na Utalii, kupitia mradi wa FORLAND, imesema inaendelea kuhamasisha matumizi ya miti mingine ya asili tofauti na inayojulikana sasa ya Mninga na Mkongo. Akizungumza na waandishi wa habari katika maonyesho ya siku misitu, yanayoendelea kwenye viwanja vya Ilulu vilivyopo Manispaa ya Lindi, mkoani humo, Afisa misitu na…

Read More

Usikose! Nafasi 31 za Kazi Zatangazwa Halmashauri ya Liwale

Global Publishers March 21, 2026 0 Comments Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale ametangaza rasmi nafasi za kazi 31 kwa Watanzania wenye sifa, baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Tangazo hilo linahusisha nafasi katika kada tatu tofauti ambazo ni Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja…

Read More

Matunda 9 Yanayosaidia Kupunguza Mafuta ya Tumbo

Baadhi ya matunda kama zabibu (grapefruit), nanasi, parachichi na kiwi yanaweza kusaidia kupunguza mafuta ya tumbo kutokana na kuwa na nyuzi za lishe (fiber), vimeng’enya (enzymes) na virutubisho vingine muhimu. Kwa mujibu wa The Times of India, matunda kwa asili yana kalori chache na fiber nyingi, hali inayosaidia kudhibiti njaa kwa kukufanya ujisikie umeshiba kwa…

Read More

Huu hapa mfupa wa Pedro Yanga

YANGA ina mechi ya nne mfululizo ugenini leo ikiwa mgeni wa Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini, Dodoma, ikiuanza mzunguko wa pili, lakini kuna tahadhari itatakiwa kuichukua kama inautaka ubingwa ikikaribia kuvunja rekodi yake ya msimu uliopita. Yanga leo itakuwa inaanza mzunguko wa pili ambapo takwimu zinaonyesha timu hiyo imeshaangusha pointi nane ndani ya…

Read More

Diarra anawapiku hapa Manula, Kassali

MAKIPA Djigui Diarra wa Yanga, Aishi Manula (Azam) na Mahamadou Tanja Djibrilla Kassali Djibo (Simba), wameendelea kuonyesha ubora katika mechi mbalimbali hasa za Ligi Kuu Bara, huku viwango vyao vikiwa ni msaada kwa timu zao. Kwa jumla makipa hawa wameokoa hatari 16 zilizodhaniwa zingewanyima cleansheet na kuwaacha waliojaribu kuwafunga wakishika vichwa kutokana na ufundi wao…

Read More