BAKWATA Yamtangaza Rais Samia Kuongoza Baraza la Eid Jijini Dar
Global Publishers March 20, 2026 0 Comments Waislamu nchini Tanzania kesho Machi 21, 2026 wanatarajiwa kuadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri kwa shangwe na ibada maalum, ikiwa ni hitimisho la mwezi mtukufu wa Ramadhani. Nchini Tanzania, Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni…