TMA Yatangaza Tahadhari Ya Mvua Kubwa nchi Nzima Machi 20–21
Global Publishers March 20, 2026 0 Comments Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya tahadhari na angalizo la mvua kubwa kwa mikoa kadhaa, ikisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kuchukua tahadhari stahiki ili kuepuka madhara yanayoweza kutokana na hali ya hewa mbaya. Katika taarifa hiyo, TMA imetahadharisha kuwa Ijumaa ya 20 Machi 2026, kunatarajiwa…