Mwimbaji wa Injili Irene Robert Afariki Ghafla

Global Publishers March 20, 2026 0 Comments Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Irene Robert, amefariki dunia leo Machi 20, 2026 baada ya kuugua ghafla. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mwimbaji mwingine wa Injili, Walter Chilambo, kupitia ukurasa wake wa Instagram, akionesha masikitiko kufuatia kuondokewa na rafiki yake wa karibu. Katika ujumbe wake, Walter…

Read More

WAKULIMA NDOGOWE WAPATIWA ELIMU YA AFYA YA UZAZI

Na Mwandishi Wetu BAADHI ya wakulima na Wanufaika wa mradi wa mashamba ya Serikali ya Jenga kesho iliyobora(BBT)wapatao 300 katika Kijiji cha Mlazo kata Ndogowe Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wamepatiwa Semina ya kufahamu changamoto ya Afya ya Akili,Afya ya Uzazi na namna ya kujinginga na magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya Ngono. Msomaji Lusinde na  Sharifa…

Read More

DIWANI WA ZUZU ATOA MSIMAMO KUHUSU CHIMBO LENYE UTATA MAZENGO

…….. Na Carlos Claudio, Dodoma. Wananchi wa Mtaa wa Mazengo, Kata ya Zuzu jijini Dodoma, wameiomba Serikali kuingilia kati na kusitisha mara moja shughuli za uchimbaji wa madini ujenzi zinazoendelea katika eneo lao, wakieleza kuwa zinahatarisha maisha yao na kusababisha uharibifu wa mazingira. Ombi hilo lilitolewa wakati wa ziara ya Diwani wa Kata ya Zuzu,…

Read More

Serikali za EAC zashinikizwa kugawa pedi bure, kuondoa tozo

Dar es Salaam. Serikali za nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimetakiwa kupitia upya sera na mifumo ya kodi ili kuhakikisha upatikanaji wa taulo za kike (pedi) unakuwa rahisi au bure, hatua itakayosaidia kupunguza changamoto zinazowakabili wasichana hasa walioko vijijini na familia zenye kipato duni. Kukosekana kwa taulo za kike, imesababisha baadhi ya…

Read More