Mfumo wa kielektroniki majengo mapya TBA, usipolipa kodi mlango haufunguki
Dar es Salaam. Kukamilika kwa mradi mpya wa majengo ya makazi ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), uliopo Canadian Masaki jijini Dar es Salaam umegeuka kuwa wa aina yake baada ya kuwekwa mfumo wa kielektroniki kwenye milango. Mfumo huo utatumiwa kusetiwa na maofisa wa IT wa wakala kwa mteja asiyelipa kodi hivyo hatoweza kuingia ndani…