Jeshi la Polisi Lajipanga Kulinda Wananchi Wakati wa Eid El Fitri
Global Publishers March 20, 2026 0 Comments Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime Kuelekea maadhimisho ya sikukuu ya Eid El-Fitri, Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuwa limejipanga kikamilifu kuhakikisha usalama wa wananchi unadumishwa katika kipindi chote cha sikukuu hiyo. Akizungumza na vyombo vya habari, Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, amesema kuwa hali…