WAKAZI WA MOSHI NA ARUSHA WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHUKUA KITS ZA YAS KILI INTERNATIONAL HALF MARATHON
Shauku na hamasa ya kushiriki mbio za Yas Kili International Half Marathon (21kms) imeonekana wazi miongoni mwa wakazi wa mikoa ya Kaskazini, baada ya idadi kubwa ya watu kujitokeza katika vituo vya kuchukua kits (jezi, nambari na vifaa vingine vya washiriki). Vituo vya Moshi na Arusha vimepokea idadi kubwa ya wadau wenye shauku kubwa ya…