Bodaboda Atapeliwa Milioni 2.7 Baada ya Kushawishiwa Biashara – Video
Global Publishers March 20, 2026 0 Comments Mkazi wa Dar es Salaam, Oswad Kimario (27), ambaye ni mzaliwa wa Moshi mkoani Kilimanjaro, amedai kutapeliwa kiasi cha shilingi milioni 2.7 baada ya kushawishiwa kuwekeza kwenye biashara ya viatu. Akizungumza na waandishi wa habari Machi 19, 2026, Kimario amesema fedha hizo alizipata baada ya kuuza pikipiki yake…