Askofu mpya Jimbo Katoliki Bariadi asimikwa, viongozi wa dini waonya
Simiyu. Viongozi wa dini wameonywa kutojikita katika kutafuta utukufu wa wanadamu bali kumtukuza Mungu, wakihimizwa kusimama katika ukweli wa Injili bila kuficha maovu. Aidha, wamekumbushwa kuwa kupindisha mafundisho kwa lengo la kuwafurahisha watu kunaweza kulidhoofisha Kanisa. Wito huo umetolewa leo Alhamisi Machi 19, 2026, mkoani Simiyu katika Misa Takatifu ya kumsimika Askofu wa kwanza wa…