Naibu Waziri Kihenzile Ashiriki Mkutano wa Uchukuzi Afrika Kusini
Bakari Mahundu March 19, 2026 0 Comments Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ameshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Masuala ya Uchukuzi (NCT) uliofanyika katika Ukumbi wa Gallagher Estate, Johannesburg, Afrika Kusini. Mkutano huo ulifunguliwa na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa. Sambamba na ushiriki huo, Naibu Waziri pia amehudhuria Mjadala wa Mawaziri wa Uchukuzi ukiwa…