UZAZI WA MPANGO: KUVUNJA DHANA POTOFU NA KUIMARISHA NAFASI YA VIJANA KATIKA MAENDELEO YA TAIFA
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv UZAZI wa mpango si mjadala wa kiafya pekee, bali ni ajenda ya maendeleo ya taifa. Ni nyenzo inayogusa afya ya mama na mtoto, ustawi wa familia, nguvu kazi ya vijana na mustakabali wa uchumi wa nchi. Nchini Tanzania, pamoja na jitihada za serikali na wadau wa maendeleo, bado kuna changamoto…