Wanafunzi Wanufaika na Mradi wa Vyoo vya Kisasa Simiyu na Mara
Simiyu & Mara, Tanzania 17Machi 2026: Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na wadau wake wakiwemo Stanbic Bank Tanzania pamoja na waandaaji wa msafara wa Twende Butiama, wamekabidhi rasmi miundombinu ya vyoo katika Shule za Msingi Sima A iliyopo Bariadi mkoani Simiyu pamoja na Shule ya Msingi Madaraka iliyopo Butiama mkoani Mara. Mradi huo…