BMH YASHIRIKISHA MASHIRIKA YA BINAFSI YENYE UBIA NA SERIKALI KATIKA KUWEZESHA MATIBABU YA UPANDIKIZAJI FIGO NA ULOTO KWA WANANCHI WENYE UHITAJI

Menejimenti ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kwa kushirikiana na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) imebuni mfuko wa kushirikisha wadau (stakeholders) kuwezesha kusaidia matibabu ya Upandikizaji wa Viungo kwa kuanza na Upandikizaji Uloto kwa watoto wenye Selimundu(Sickle cell) na Upandikizaji Figo kwa Wananchi wenye Uhitaji. Akiwasilisha mpango huo kwenye mkutano wa Wenyeviti wa…

Read More

MFUKO WA PAMOJA WA RUZUKU KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI KUIMARISHA UFADHILI NA UENDELEVU: DKT. JINGU

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu, amesema kuanzishwa kwa Mfuko wa Pamoja wa Ruzuku kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs Basket Fund – NBF) kutarahisisha upatikanaji wa rasilimali fedha na uendelevu kwa Mashirika hayo nchini. Akizungumza Machi 18, 2026, wakati wa ufunguzi wa kikao kazi…

Read More

Yanga yafuata winga mwingine DR Congo

KAMA unahisi Yanga imeridhika na kikosi chake cha sasa, basi umekosea kwani mabingwa hao wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara wameshaanza kupiga hesabu za kumchukua winga mmoja wa DR Congo, huku wakichuana na Waarabu kutoka Algeria kuwania saini ya staa huyo. Iko hivi; Yanga imejikuta ikipishana mlangoni na MC Alger ya Algeria katika kuulizia saini…

Read More

Kocha Kijana wa Wanawake wa Taekwondo wa Afghanistan Alichagua Upinzani kwa Kujisalimisha kwa Taliban – Masuala ya Ulimwenguni

Mandhari ya mtaani ya mkoa wa Herat. na Chanzo cha Nje (Herat, Afghanistan) Jumatano, Machi 18, 2026 Inter Press Service HERAT, Afghanistan, Machi 18 (IPS) – Wakati Khadija Ahmadzada alipokamatwa katika jimbo la Herat nchini Afghanistan mwezi Januari mwaka huu, ilisababisha maandamano makubwa ya ndani na kimataifa. Wanaharakati wa haki za wanawake na watumiaji wa…

Read More

Maafisa Elimu Kata Wapewa Mbinu za Kusimamia Shule kwa Ufanisi

NA EMMANUEL MBATILO, BAGAMOYO WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) itaendelea kutoa fursa za mafunzo endelevu ya viongozi wa elimu wa ngazi mbalimbali na wadau wengine wa elimu ili waweze kuimarisha uongozi, usimamizi na uendeshaji wa shule kwa ajili ya utoaji wa elimu bora nchini.  Ameyasema hayo Mkurugenzi wa Elimu msingi, Abdul Maulid wakati akimwakilisha…

Read More