KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI WA HATIFUNGANI
Na Oscar Assenga,TANGA KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira wametembelea maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa Maji wa Hatifungani ya Kijani (Green Bond) wenye thamani ya Sh.Bilioni 53.3 unaolenga kuboresha hali ya upatikanaji wa huduma kwa wakazi wa Jiji la Tanga na wilaya za karibu Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua…