Muelekeo mpya ukusanyaji wa mapato
Dar es Salaam. Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi imependekeza mabadiliko katika sekta ya kodi, ikiwamo kubadili jina la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuitwa Huduma za Mapato Tanzania (TRS). Tume hiyo iliyoongozwa na mwenyekiti wake, Balozi Ombeni Sefue, ilianzishwa Julai 31, 2024 na kuanza kazi Oktoba 4, 2024 imekuja…