Sera ya vijana EAC yatia matumaini, sauti yao bado changamoto

Dar es Salaam. Wakati nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zikiendelea kuboresha sera ya vijana ya 2025–2030, wadau wamesema inaleta matumaini kwa maendeleo ya vijana, lakini bado kuna changamoto ya ushirikishwaji na utekelezaji. Hayo yameelezwa leo Machi 18, 2026 katika mkutano wa kikanda wa afya ulioandaliwa na Baraza la Wabunge Vijana wa Afrika…

Read More

Wananchi Dar walalama kukatika umeme, Tanesco yajibu

Dar es Salaam. Wakati baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam yakishuhudia kukatikakatika kwa   umeme  nyakati tofauti Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema hali hiyo inatokana na athari zitokanazo na mvua zinazoendelea kunyesha. Katika siku za hivi karibuni wakazi wa maeneo mbalimbali ya Jiji hilo kama Ubungo, Kimara, Tabata, Goba na Chanika wameeleza…

Read More

Mbinu shirikishi zatolewa kuinua ufaulu wa somo la hisabati

Dar es Salaam. Wadau wa elimu wamekutana jijini Dar es Salaam kujadili mbinu za kuboresha ufundishaji na ujifunzaji wa somo la hisabati, wakilenga kuwasaidia wanafunzi kulipenda na kufanya vizuri zaidi. Mjadala huo uliandaliwa na Taasisi ya Maendeleo ya Elimu Afrika Mashariki ya Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU-IED, EA) jana Jumatatu, Machi 17, 2025 ukiadhimisha…

Read More

BIASHARA YA KABONI YAFUNGUA NEEMA MPYA LINDI

Na Mwandishi Wetu, Lindi Fursa ya biashara ya kaboni imeelezwa kuwa mkombozi mpya wa uchumi wa misitu nchini, huku Serikali ikihimiza wananchi na wadau kuchangamkia rasilimali hiyo kwa manufaa ya kiuchumi na uhifadhi wa mazingira. Hayo yamebainishwa Machi 18, 2026 katika Uwanja wa Ilulu, Manispaa ya Lindi, wakati wa Jukwaa la Majadiliano ya Biashara kwa…

Read More

Saratani ya utumbo yashika kasi, visababishi vyatajwa

Dar es Salaam. Wataalamu wa afya nchini wamesema saratani ya utumbo mpana, kitaalamu ikiitwa Colorectal Cancer, imeanza kuongezeka kwa kasi nchini, huku mabadiliko ya mtindo wa maisha yakitajwa kuwa sababu kubwa inayochangia ongezeko hilo. Miji mikubwa imetajwa kuwa hatarini, huku wataalamu wakisema ongezeko hilo linachangiwa zaidi na mabadiliko ya mtindo wa maisha, ikiwamo ulaji wa…

Read More

Radi yaua wanafunzi watatu Shule ya Msingi Msongola Dar

Dar es Salaam. Wanafunzi watatu wa Shule ya Msingi Msongola, iliyopo  Kivule wilayani Ilala jijini Dar es Salaam, wamefariki dunia kutokana na kupigwa na radi. Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amethibitisha tukio hilo na amesema tukio hilo limetokea leo Jumatano Machi 18, 2026. “Ni kweli wanafunzi wetu…

Read More