WIZARA YA FEDHA YAENDELEA NA UCHAMBUZI WA BAJETI SEKTA YA UZALISHAJI
Na. Jordan Mbwambo, WF – Dodoma Wizara ya Fedha kupitia Idara ya Usimamizi wa Bajeti ya Serikali, inaendelea na uchambuzi wa bajeti ya sekta ya uzalishaji kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Sekta hiyo inajumuisha Wizara ya Kilimo, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Wizara ya Ardhi, Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Madini….