Chuck Norris Aacha Urithi Mkubwa Mke na Watoto Watano Kunufaika
Gwiji wa sanaa za mapigano na filamu, Chuck Norris akiwa na mke wake Gena O’Kelley enzi za uhai wake. Gwiji wa sanaa za mapigano na filamu, Chuck Norris, ameacha urithi mkubwa wenye thamani ya takriban dola milioni 70 sawa na bilioni 182 (TZS 182,000,000,000), ambao sasa umeelezwa jinsi utakavyogawanywa kati ya wanafamilia wake wa karibu…